Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma
Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa
Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake
Magunga jimbo la Kalenga, Iringa, leo Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka
shada la maua wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge
wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la
Kalenga, Iringa,Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa
heshima baada ya kuweka shada la maua wakati wa mazishi ya aliyekuwa
Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga Marehemu William Mgimwa kijijini
kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto
wa Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa
Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mama mzazi wa Marehemu wakati
wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William
Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6,
2014
Mama Salma Kikwete akimfariji Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa
Marehemu wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa
Kalenga William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mjane wa Marehemu wakati wa
mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa
kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapa mkono wa pole wananchi wa Kalenga
wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga
William Mgimwa kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapa mkono wa pole machifu wakati wa
mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga William Mgimwa
kijijini kwake Magunga jimbo la Kalenga, Iringa,Desemba 6,
2014.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Chapisha Maoni