Hii ni tabia ambayo ilianza siku nyingi taratibuu na sasa imeshazoeleka kwa watu kuamua lolote bila kujali sheria,na hivi ndivyo mjasiriamali huyu alivyonaswa na MCHOME BLOG katika barabara ya Mwai Kibaki akijihatarishia maisha yeye mwenyewe lakini pia kwa watumiaji wengine wa barabara kwa kubeba mahindi mabichi na majani yake kati kati ya barabara.
Jumapili, 12 Januari 2014
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni