Makamu
wa Pili mwa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe
wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika sekta ya
Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC Ofisini kwake Vuga
Mjini Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na
Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa inayojishughulisha na uwekezaji katika
sekta ya Viwanda, Bandari na Viwanja vya Ndege ya ALTEC uliofika
ofisini kwake kwa mazungumzo.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.