Mbunge
wa Mbozi Mashariki, Davi Silinde (Chadema), akiwahutubia wananchi wa
mji wa Mbeya, katika mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima
uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe mjini Mbeya jana.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akihutubia mkutano wa hadhara wa Operesheni M4C Pamoja Daima,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe.
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, wakiondoka kwa
shamrashamra, baada ya kuhutubia mkutano wa hadahara wa Operesheni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika katika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya
Katibu
Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa
akiwa amembeba mtoto Sheila Shukurani (3), kabla ya kuhutubia mkutano
wa hadhara matika mji wa Makongorosi mkoani Mbeya
Mbunge
wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, akiwahutubia wananchi wa mji wa
Mbeya na vitongiji vyake katika mkutano wa hadhara wa Operesehni M4C
Pamoja Daima, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe
Picha na CHADEMA
0 comments:
Chapisha Maoni