Searching...
Alhamisi, 12 Desemba 2013

TIMU NNE ZA ENGLAND ZAFUZU 16 BORA,ARSENAL YATINGA KWA KICHAPO CHA 2-0


Relieved Gunners scrape into last 16
WACHEZAJI WA ARSENAL WAKISIKITIKA BAADA YA KUPOKEA KIPIGO KIBAYA CHA MAGOLI 2-0 KUTOKA KWA NAPOLI,JAPO PAMOJA NA KIPIGO HICHO LAKINI WAMETINGA 16 BORA BARANI ULAYA.
Chelsea v Steaua Bucharest - UEFA Champions League Group Stage Matchday Six Group E 
DEMBA BA AKITUMBUKIZA MPIRA WAVUNI.
Chelsea delighted to miss out on big guns 
WACHEZAJI WA CHELSEA OSCAR NA BA WAKISHANGILIA GOLI LAO PEKEE KATIKA USHINDI WA 1-0 DHIDI YA STEAUA BUCHAREST,BAO LILILOFUNGWA NA DEMBA BA NA KUIWEZESHA CHELSEA KUTINGA 16 BORA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!