Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe akizungumza na msanii wa bongo fleva (mduara) Zuwena Mohamed maarufu kwa jina la Shillole wakati alipotembelea ubalozi wa Tanzania nchini humo,Shillole yupo nchini Uingereza kwaajili ya Show moja iliyofanyika usiku wa mkesha wa X mass.
Jumatano, 25 Desemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni