Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza wakati alipozindua Jimbo la Kusini mwa Tanzania la Kanisa la Waadventista wa sabato kwenye uwanja wa maonyesho wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013. Wengine pichani ni Maaskofu kwa kanisa hilo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na maaskofu wa kanisa la Waadventista wa Sabato baada ya kuzindua Jimbo la Kusini mwa Tanzania kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwali Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nisahati na Madini, Eliakim Maswi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na maaskjofu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato baada ya kuzindua Jimbo la Kusini kwa Tanzania la Kanisa hilo kwenye uwanja wa maonyesho wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Desemba 7, 2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 comments:
Chapisha Maoni