Searching...
Jumapili, 8 Desemba 2013

MAMLAKA YA HALI YA HEWA YATOA TAHADHARI YA MVUA KUBWA DSM,TANGA,PEMBA,UNGUJA,LINDI MTWARA NA MOROGORO



          WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 09/12/2013.

[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
[Mkoa wa Morogoro]:
[Mikoa ya Dar-Es-Salaam, Pwani na  Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  maeneo mengi na vipindi vifupi vya jua

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika  baadhi ya maeneo na vipindi vifupi  vya jua
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
[Mikoa ya Kigoma, Iringa, Mbeya na Rukwa]:
[Mikoa ya Ruvuma, Shinyaga na Tabora]:
[Mikoa ya  Kagera, Mara na Mwanza]:


Hali ya mawingu Kiasi, mvua na ngurumo  katika  maeneo machache na vipindi  vya jua
ANGALIZO: ONGEZEKO LA MVUA LINATEGEMEWA KATIKA MAENEO MENGI YA MIKOA                        YA DAR ES SALAAM, TANGA,VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA,LINDI, MTWARA                          NA MOROGORO.
 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                       25°C                          
12:31
D'SALAAM
         30°C           
12:27
DODOMA
33°C
12:36
KIGOMA           
28°C
01:02
MBEYA
27°C
12:53
MWANZA
28°C
12:44
TABORA
29°C
12:50
TANGA
31°C
12:25
ZANZIBAR
          30°C           
12:27
PEMBA
30°C
12:25
MOROGORO
31°C
12:34

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Magharibi kwa kasi ya km 30 kwa saa  kwa
                               Pwani ya Kaskazini na kutoka Kusini kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa pwani ya Kusini.
 Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi makubwa kiasi.  
                       
          Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu: 09/12/2013: Mabadiliko kidogo.  
                      
        Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 09/12/2013.

        Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!