HUYU NDIYE SHABIKI WA YANGA ALIYECHOMA KADI YAKE MOTO BAADA KIPIGO CHA SIMBA
Home
»
Unlabelled
» HUYU NDIYE SHABIKI WA YANGA ALIYECHOMA KADI YAKE MOTO BAADA KIPIGO CHA SIMBA
Huyu jamaa ambaye jina lake halikufahamika mara moja amefikia maamuzi magumu ya kuichoma kadi yake ya uanachama wa yanga kisa kipigo cha 3-1 kutoka kwa simba,ama kweli kufungwa kubaya.
0 comments:
Chapisha Maoni