FRANK LAMPARD-NAHODHA WA CHELSEA.
Hatimaye mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya mahasimu wa London Arsenal dhidi ya Chelsea imemalizika huku kila timu ikitoka uwanjani pasipo kuona lango la mwenzake baada ya dakika 90 kukamilika kwa matokeo ya 0-0 na kuifanya timu ya Liverpool kuendelea kuongoza katika msimamo wa ligi kuu England.
Nusura nahodha wa Chelsea Frank Lampard aipatie Chelsea bao dakika ya 30 ya mchezo pale alipounganisha kross na mpira kugonga mwamba.
0 comments:
Chapisha Maoni