Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi zahanati ya
Shamwengo,Kata ya Inyala, Mbeya Vijijinikiwa ni shughuli yake ya kwanza
kufanya baada ya kuanza ziara yake mchana huu katika wilaya ya Mbeya
Vijijini. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Dk. Norman Sigala
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro
akishiriki ujenzi zahanati ya Shamwengo Kata ya Inyala,Mbeya Vijijini
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akikagua ujenzi wa mradi wa maji Kata ya Iwindi Mbeya Vijijini
Kinana (aliyeshika tangi kushoto) akichungulia kina cha tanki, wakati
akikagua ujenzi wa mradi wa maji kata ya Iwindi, Mbeya Vijijini
Kinana akikatiza mitaa wakati akienda kwa mjumbe wa shina namba moja,
Mtaa wa Nsalala, Barabara ya Tunduma. KUshoto ni Mkuu wa wilaya ya Mbeya
Vijijini Dk. Norman Sigala
Mjunmbe wa Shina namba moja, Lidya Mwangoka akifungua kikao cha shina
lake, kilichohudhuriwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (watatu
kusho), Kushoto ni Dk. Asha-Rose
Kinana
akila mhindi nyumbani kwa balozi wa shina namba moja, Lidya Mwangoka,
Mbeya Vijijini. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mbeya (V) Ipyana Seme
Kinana akizindua shina la wakereketwa vijana wa CCM, Mshikamano Nsalala, Mbalizi, Mbeya Vijijini
Kinana akiongoza msafara wake katika barabara ya Mbalizi, Mbeya kwenda
ukumbini kuendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wiyala ya Mbeya
Vijijini. Baadhi ya viongozi alio nao ni Katibu wa NEC, Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa, Dk Asha-Rose Migiro na Katibu wa NEC, Itikadi na
Uenezi Nape Nnauye
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Mbeya Vijijini wakiwa
ukumbini mjini Mbalizi tayari kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana










0 comments:
Chapisha Maoni