EMMANUEL OKWI
Taarifa za uhakika zilizotufikia usiku huu zinzsema klabu ya Yanga ya Jijini Dar es salaam imemsajili mchezaji wa kimataifa wa Uganda Emmanuel Okwi ambaye alikua mcheza wa simba msimu uliopita.
ABDALLAH BIN KLEB
akizungumza na Blog Hii mmoja wa wajumbe wa kamati ya usajili ya Yanga Abdalah Ahmed Bin Kleb amesema tayari Yanga wamemalizana na mchezaji huyo nguli wa kufumania nyavu kwa mkataba wa miaka miwili.
0 comments:
Chapisha Maoni