Nicklas Bendtner amesisitiza kwamba anataka kuondoka kunako klabu yake ya sasa ya Arsenal japo hajaweka wazi kama anataka kutimka katika kipindi cha dirisha dogo january au mwishoni mwa msimu.
‘Ninataka kuondoka Arsenal. kama itakua ni kipindi cha dirisha dogo au mwishoni mwa msimu,sijui ngoja tusubiri tuone...Sababi kubwa ya kutaka kuondoka ni kuangalia changamoto zingine za maisha,alafu pesa ni jambo la pili,,’ aliwaambia waandishi wa habari.
‘Nimecheza mpira tangu nikiwa na umri wa miaka minne,na sasa hii ndio imekua fani yangu ninayoipenda maishani mwangu.’alimalizia Bendtner
0 comments:
Chapisha Maoni