Searching...
Jumapili, 24 Novemba 2013

LIVE TAZAMA PICHA KUTOKA SERENA HOTEL KATIKA MKUTANO WA ZITTO NA WANAHABARI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe akiongea na wanahabari katika Ukumbi wa mikutano uliopo ndani ya hoteli ya Serena Posta jijini Dar es Salaam.
Dk. Kitila Mkumbo naye akiongea na wanahabari.
Wanahabari wakichukua matukio katika mkutano huo na wanahabari.
(PICHA NA ISSA MNALLY / GPL)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!