Searching...
Ijumaa, 22 Novemba 2013

HIVI NDIVYO WATU 10 WALIVYOPANDISHWA MAHAKAMANI KUJIBU TUHUMA ZA KUMUUA DKT MVUNGI, TAZAMA PICHA ZOTE HAPA

1
Majambazi kumi wanaodaiwa kumuua Dr. Segondo Mvungi wamefikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu na kusomewa shitaka la kumuua Dr. Mvungi.

Kesi imesomwa na Hakimu Mkazi Sundi Fimbo ambapo Watuhumiwa hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama kutokua na uwezo wa kusikiliza kesi ya mauaji hivyo wanarudishwa Segerea mpaka tarehe tano December kwa ajili ya kesi kutajwa.
2
Hapa chini kuna majina yao, umri, wanakoishi pamoja na taarifa zao nyingine.Chanzo:millardayo.com
3
4
5

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!