Mandhari
ya ukumbi uliofanyika sherehe ya kumpongeza Rais Mstaafu wa awamu ya
tatu, Benjamin Mkapa ya kutimiza miaka 75, iliyofanyika kwenye ukumbi wa
Msimbazi Center jijini Dar es Salaam,11-11-2013
Rais
Mstaafu, Benjamin Mkapa, akijumuika na mkewe Mama Anna Mkapa na sehemu
ya Familia yake kukata Keki, ikiwa ni ishara ya kupongezwa kwa kutimiza
miaka 75.
Shamra shamra ukumbini wakati wa sherehe hiyo.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa,akizima mishumaa.
Baadhi
ya wageni waalikwa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal, (kushoto) Mama
Zakia Bilal na baadhi ya viongozi, wakijumuika kumpongeza Mkapa.
Zawadi ya Benjamin kutoka kwa marafiki zake wakaribu.
sehemu ya wageni waalikwa.
Wageni waalikwa .
wageni waalikwa.
Msanii akitoa burudani.
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa, akilishwa keki na mkewe Mama Anna Mkapa.
Unyenyekevu.
Baadhi ya wageni waalikwa.....
Mkapa na keki yake.
Mkapa akipongezwa na mke wa Rais, Mama Salma Kikwete.
Waalikwa.
Wageni waalikwa wakigonganisha glasi wakati wa shampeni.
Zawadi.......akikabidhiwa mkapa......
Rais Mstaafu Mkapa, akizungumza wakati wa sherehe hiyo...
Makamu wa Rais Dkt.Bilal, akizungumza kwa niaba ya Serikali.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal. akimpongeza Mkapa.
Picha ya pamoja
0 comments:
Chapisha Maoni