Searching...
Jumamosi, 5 Oktoba 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAMOSI 05-10-2013


        WIZARA YA UCHUKUZI

                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.

S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 05/10/2013.


[Mikoa ya Kagera na Kigoma]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Mara na Mwanza ]:

Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga , Dar-Es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Ruvuma, Morogoro na Mtwara]:
[Mikoa ya Iringa, Lindi na Mbeya]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Rukwa, Shinyanga na  Tabora ]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
                27°C                
12:27
D'SALAAM
           31°C           
12:17
DODOMA
27°C
12:31
KIGOMA           
29°C
12:55
MBEYA
24°C
12:40
MWANZA
28°C
12:41
TABORA
31°C
12:43
TANGA
30°C
12:18
ZANZIBAR
           32°C           
12:17
PEMBA
30°C
12:18
MOROGORO
28°C
12:24

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani Yote,Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa kiasi.Matazamio kwa usiku wa leo  Jumamosi: 05/10/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 05/10/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!