Kikosi cha timu ya soka ya wanawake ya Tanzanite kikiwa katika picha ya pamoja,kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Msumbiji
uliopigwa jana jioni kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Hadi
mwisho wa mchezo,Tanzanite iliibuka kidedea kwa ushindi mnono wa mabao
10 - 0.
Waamuzi wa mchezo huo.
Kikosi cha Msumbiji.
Raha ya ushindi.
0 comments:
Chapisha Maoni