Searching...
Alhamisi, 10 Oktoba 2013

TUNAOMBA RADHI-PICHA ZINATISHA,KIJANA ALIYEMUUA MWENZAKE KWA KUMCHOMA KISU NAYE AUAWA NA WANANCHI

Huyu ndiye marehemu kijana maarufu kwa jina la 'Mkandarasi' anayesadikika kufanya mauaji kwa mumchoma kijana mwenzake kisu naye aliuawa na wananchi wenye hasira katika mtaa wa Msikiti wa Ijumaa jijini Mwanza.
Maafisa polisi na wananchi wakiwa wameuzingira mwili wa marehemu Mkandarasi.
Umati wa watu mtaa wa Msikiti wa Ijumaa.
Mashuhuda wakiutizama mwili wa kijana aliyeuwa kwa kuchomwa kisu.
Mwili wa kijana aliyekuwa akifanya kazi kwa mamalishe mtaa wa Msikiti wa Ijumaa ukiwa umelowa damu  mara baada ya kuchomwa kisu kufuatia majibizano na jamaa (maarufu kwa jina la 'Mkandarasi') ambaye naye aliuawa na wananchi wenye hasira waliojichukulia sheria mkononi.
Mashuhuda.
Polisi walifika eneo la tukio na kisha wakaondoka na miili ya marehemu hao nao wengine wakibakia eneo la tukio kubaini nini chanzo.
Mwananchi akifukia damu zilizotapakaa kwenye barabara.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!