Ajali mbaya na ya kutisha imetokea usiku wa jana katika mlima kitonga
wilaya ya Kilolo mkoani Iringa katika barabara kuu ya Dar es Salaam
-Iringa .
Katika ajali hiyo watu wawili wamekufa papo hapo huku wawili wakijeruhiwa vibaya baada ya malori mawili kugongana uso kwa uso .
Ajali hiyo imetokea mida ya saa 12.50 jioni jana ikiwa ni dakika takribani 30 baada ya ajali ya basi la JM kupinduka eneo la Mazome wilaya ya Kilolo.
waliopoteza maisha katika ajali hiyo ambayo chanzo ni dereva wa lori la IT lililokuwa likisafirishwa kwenda nchi za kusini mwa Tanzania aliyekuwa akitaka kulipita gari la mbele mlimani na katika kona kali .
Hata hivyo dereva wa lori hilo IT aliyetambuliwa kwa jina la Gody amevunjika mguu wake na dereva na utingo la fuso wamekufa papo hapo huku mwanamke aliyekuwa katika lori IT akisalimika .

0 comments:
Chapisha Maoni