HIVI NDIVYO BASI LA JM LUXURY LILIVYOPINDUKA JANA IJUMAA MKOANI IRINGA
Home
»
Unlabelled
» HIVI NDIVYO BASI LA JM LUXURY LILIVYOPINDUKA JANA IJUMAA MKOANI IRINGA
Basi la kampuni ya JM likiwa limelala chali baada ya kupinduka jana jioni majira ya saa kumi na moja jioni katika kijiji cha Mazombe kilolo Mkoani Iringa.
Wananchi na
kijiji cha Mazombe Kilolo pamoja na abiria wa basi la JM Luxury
Coach wakilitazama basi hilo baada ya kupinduka eneo la Mazombe jana majira ya saa 11 jioni wakati likitokea Dar kwenda Iringa mjini,basi hilo lenye namba za usajili T 957 CGK
Basi la JM baada ya kupinduka
Mmoja kati ya majeruhi wa ajali hiyo akitoka katika basi la JM baada ya ajali
Majeruhi wa ajali ya JM akitafuta mizigo yake
Abiria wakitoka katika basi hilo baada ya kupinduka
0 comments:
Chapisha Maoni