kamanda wa kikosi cha jeshi Mjini Goma amelitaka jeshi la polisi kuacha kuwanyanyasa wananchi hasa kuwauliza vitambulisho vya uchaguzi na hata wengine wakinyanganya simu wanainchi wakati wa doria.
Askari jeshi la serikali ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakiwa katika mazoezi makali na gwaride Mjini Goma ili kujiweka sawa kupambana na kikundi cha waasi cha M23.
0 comments:
Chapisha Maoni