HATIMAYE LINA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA,SOOON KUACHANA NA UKAPERA
Home
»
Unlabelled
» HATIMAYE LINA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA,SOOON KUACHANA NA UKAPERA
MSANII wa
Muziki wa Kizazi Kipya kutoka nyumba ya kukuzia vipaji
Tanzania,Estelina Sanga 'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele
ya kadamnasi baada ya kuziweka wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na
mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa Bongo, wakati akipigwa picha hizi
Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea kujificha tena kwani umri wake
umeshafikia hatua ya kuolewa.Linah akiwa kwenye pozi...akiwaza namna atakavyoanza maisha ya uchumba katika umri huu wa utu uzima wakeakionyesha pete ya uchumba
0 comments:
Chapisha Maoni