Searching...
Jumapili, 27 Oktoba 2013

...BREAKING NEWSSSSS!!!!! BABA MZAZI WA WEMA SEPETU AFARIKI DUNIA

 
MAREHEMU BALOZI ABRAHAM SEPETU
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema baba mzazi wa mrembo Wema Sepetu balozi Abraham Sepetu amefariki dunia hii leo katika hosiptali ya TMJ jijini Dar es salaam alipokuwa akitibiwa.
taarifa za awali zinasema balozi Abraham Sepetu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya kiharusi pamoja na maradhi ya kisukari.
WEMA SEPETU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MAMA YAKE PAMOJA NA MAREHEMU BABA YAKE ENZI ZA UHAI WAKE
Balozi Abraham Sepetu hadi anapatwa na umauti alikua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya mamlaka ya uwekezaji wa vitega uchumi zanzibar.
 



 
Hizi ni baadhi ya post alizozituma wemama sepetu wakati baba yake akiwa mgonjwa na baada ya kufariki dunia mapema hii leo.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!