Searching...
Ijumaa, 4 Oktoba 2013

BALOZI WA UHOLANZI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI NCHIMBI OFISINI KWAKE, DAR ES SALAAM LEO

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini, Jaap Frederiks masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Uholanzi. Balozi huyo alimuhakikishia Dk Nchimbi ushirikiano wa hali ya juu kati ya nchi yake na Tanzania. Mazungumzo hayo yalifanyika ofisini kwa Waziri Nchimbi, jijini Dar es Salaam leo.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimsikiliza kwa makini Balozi wa Uholanzi nchini, Jaap Frederiks wakati walipokuwa wanajadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya yake na Tanzania. Balozi huyo alimtembelea Waziri Nchimbi ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimshukuru Balozi wa Uholanzi nchini, Jaap Frederiks kwa kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kwa lengo ya kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya wizara yake na Nchi ya Uholanzi.
 Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
 KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!