Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Jema Msuya akiongea katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa makubaliano ya kufanya kazi pamoja baina ya Airtel na Benki ya Posta Tanzania kwa kutoa huduma za kifedha pamoja pembeni ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Betrice Singano Mallya. Pembeni ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Jema Msuya na Meneja Mkuu Kitengo cha Mitandao ya Simu wa Benki ya Posta Tanzania, Mshama Mshama. Mwingine ni Meneja Operesheni Airtel Money, John Ndunguru. |
0 comments:
Chapisha Maoni