Searching...
Alhamisi, 5 Septemba 2013

WEKUNDU WA MSIMBAZI SIMBA WAAPA KUFA NA WEZI WA JEZI ZAO

Mwenyekiti wa wadhamini wa Simba, Hamisi Kilomoni wa pili kulia akitangaza Kampuni ya Isere Sports kuuza jezi za Simba na msako umeanza kukamata jezi feki (kulia) ni Inspekta Mohamed Manyahe (katikati ni Meneja Masoko wa Isere, Abas Isere.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!