MKOA WA TABORA NI MWENYEJI WA MAONYESHO YA SIDO KANDA YA KATI AMBAYO
YAMEANZA HIVI TAREHE 25/09 2013 KATIKA VIWANJA VYA CHIPUKIZI MJINI
TABORA.
AIDHA MAONYESHO YAHO YANATARAJIWA KUFUNGULIWA NA WAZIRI WA VIWANDA DK ABDALA KIGODA HAPO TAREHE 27/09/2013
MAONYESHO HAYO YANASHIRIKISHA MIKOA YA DODOMA, SINGIDA, KIGOMA NA TABOTA
0 comments:
Chapisha Maoni