Searching...
Alhamisi, 26 Septemba 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA IJUMAA,27-09-2013



 
WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
ITV – INDEPENDENT TELEVISION /RADIO ONE
 UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 27/09/2013.
[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza ]:
[Mikoa ya Kigoma na  Shinyanga ]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga, Dar-Es-Salaam  na Pwani]:
[Mikoa ya Mtwara , Lindi na  Ruvuma]:
[Mikoa ya Tabora, Singida na Dodoma]: 
[Mikoa ya Rukwa,  Iringa, Mbeya na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
 VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               27°C               
12:30
D'SALAAM
           32°C           
12:19
DODOMA
30°C
12:33
KIGOMA           
29°C
12:58
MBEYA
28°C
12:41
MWANZA
27°C
12:44
TABORA
30°C
12:45
TANGA
30°C
12:20
ZANZIBAR
           31°C           
12:19
PEMBA
29°C
12:20
MOROGORO
31°C
12:26
 Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa; kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Mashariki kwa Pwani ya kusini.Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo. Matazamio kwa usiku wa leo Ijumaa: 27/09/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe 27/09/2013.
  Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!