Bibi Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Mheshimiwa Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu mjini Dodoma Septemba 11,
2013
Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Mheshimiwa
Waziri Mkuu, Mizengo PInda lililopo Zuzu mjini Dodoma Septemba 11,
2013.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Chapisha Maoni