Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akitazama Sarafu ya Ubora (coin of Excellency) aliyopewa na Balozi wa
Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt (kushoto),
Ofisini kwake mjini Dodoma Septemba 3,2013. Balozi huyo alikweda kuaga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Balozi wa Marekani Nchi aliyemaliza muda wake, Alfonso
Lenhardt, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo Septemba 3, 2013. Balozo
huyo alikweda kumuaga waziri mkuu ambaye anaendelea na shughuli za bunge mjinI Dodoma.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Chapisha Maoni