Watu sita wamefariki dunia katika ajali ya Treni na Basi la abiria katika makutano ya reli na barabara umbali mdogo kutoka kituo cha treni kati kati ya jiji la Ottawa nchini Canada.
Msemaji wa kituo cha zima moto cha Ottawa Mark Messier ameviambia vyombo vya habari kuwa hiyo imekuwa ajali ya ajabu sana lakini pia ya kizembe ambayo imepelekea watu 6 kufariki dunia na 30 kujeruhiwa japo majeruhi wote ni kutoka kwenye basi.
0 comments:
Chapisha Maoni