Searching...
Jumatatu, 16 Septemba 2013

WAHAMIAJI HARAMU WA MALAWI WAJISALIMISHA UHAMIAJI DSM



Raia wa Malawi wakijiandikisha katika Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam jana kuhusu zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. 
(Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi).


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!