Searching...
Jumatatu, 2 Septemba 2013

TCU YATOA TENA NAFASI ZA MAOMBI VYUO VIKUU, MWISHO 07.09.2013


 
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inatoa nafasi nyingine kwa watu wenye sifa za kujiunga na vyuo vikuu  kutuma maombi  yao kwa msimu wa masomo wa 2013/2014. 
Mwisho wa kutuma maombi hayo ni tarehe 07.09.2013.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!