Mwili wa Mtu mmoja aliyeuwawa kwenye shambulio la jana jijini nairobi nchini Kenya ukiwa umelala chini huku damu zikiwa zinatiririka.
mmoja wa majeruhi wa shambulio la jana 21.09.2013 akiwa anawahishwa kupatiwa matibabu.
maofisa wa usalama wakiwa wamembeba mama mmoja mjamzito ambaye alijeruhuwa na risasi katika shambulio hilo.
hali ilikua ni yakutisha sana,maana kila mahali ilikua ni damu.
dada mmoj akiwa amebebwa na maofisa wa usalama baada ya kujeruhiwa na risasi na kundi la magaidi wa kikundi cha alshabaab jana katika duka la westgate jijini Nairobi.
Majeruhi akipakiwa kwenye gari la kubebea wagonjwa tayari kuwahishwa hosiptalini kwa matibabu baada ya kujeruhiwa na magaidi wa alshabaab jana jijini Nairobi.
mtu mmoja akiwa ameuwawa huku watoto wadogo wawili wakiwa hawajui wafanye nini baada ya kupotezana na wazazi wao baada ya shambulio hilo la kigaidi lililofanywa na kundi la alshabaab jana jijini Nairobi.
Kijana mmoja akiwa analia kwa uchungu baada ya kupigwa risasi na washambuliaji hao huku miili mingine ya marehemu ikiwa imelala kwa pembeni.
japo haikufahamika kwa haraka lakini inaonekana hawa walikua ni mtu na mke wake au mchumba wake,na wote walikufa papo hapo tazama pia matobo ya risasi ukutani.
kijana mmoja aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu nje ya duka hilo jana.
askari wakimsaidia majeruhi mmoja aliyepigwa risasi nyingi miguuni na kuvunjika mguu wa kushoto.
mwili wa marehemu ukiwa umelala chini katika lango kuu la kuingilia katika duka hili jijini Nairobi jana baada ya shambulio la risasi lililofanywa na kundi la kigaidi la alshabaab.
mtu mmoja akiwa amejeruhiwa vibaya na risasi mgongoni lakini anajikongoja pole pole
msamaria mwema mmoja akiwa amembeba dada mmoja aliyejeruhiwa mguuni kwa risasi.
0 comments:
Chapisha Maoni