Katibu Mkuu
aliyemaliza muda wake Martin Shigela akisalimiana na Makamu Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana Ndugu Mboni Muhita kabla ya kuanza kwa kikao cha
wajumbe wa baraza la Umoja wa Vijana katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Mtela Mwampamba akiwasili kwenye uwanja wa CCM Afisi Kuu za CCM Zanzibar tayari kuhudhuria kikao cha Baraza Kuu la Vijana Taifa.
Mjumbe wa Baraza la Vijana Taifa Antony Mavunde akisaliminiana na
Mjumbe wa Baraza kutoka Jumuiya ya Wazazi William Malecela nje ya jengo
la Afisi Kuu ya CCM Zanzibar kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza la
Vijana Taifa.
Wajumbe wa Baraza la Vijana wakicheza ngoma ya Boso yenye asili ya Kusini Pemba, kabla ya kuanza kikao cha Baraza Kuu la Vijana.
Makamu wa Pili wa
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally Idd akisalimiana na Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM
Zanzibar ambapo Makamu wa Pili wa Rais ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi.
Viongozi
Wakuu wa CCM wakiomba Dua mbele ya kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya
Zanzibar Sheikh Abeid Aman Karume kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza
la Vijana la CCM Taifa.
January Makamba akizungumza na Wajumbe wa Baraza laVijana wa CCM kabla ya kuanza kwa kikao cha Baraza.
Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Taifa Dk.Emmanuel Nchimbi akitoa salaam kwa wajumbe wa Baraza
kuu la Vijana Taifa kabla kuanza kwa kikao cha Baraza Kuu la Vijana wa
CCM
Mjumbe wa Kamati
Kuu Mohamed Seif Khatibu akiwasalimu wajumbe wa Kikao Cha Baraza Kuu la
Vijana la Taifa kwenye ukumbi wa mikutano CCM Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Umoja wa Vijana wa CCM Sadifa Juma Hamisi akisoma risala kabla ya
kumkaribisha Balozi Seif Idd kufungua kikao cha Baraza la Umoja wa
Vijana.

Makamu wa Pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Idd akitoa hotuba ya kufungua kikao cha Baraza Kuu la CCM Vijana leo 1/9/2013 katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda akizungumza kwa mara ya kwanza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM .

Meza Kuu ikiwa na Katibu Mkuu mpya aliyechaguliwa Sixtus Mapunda wakati wa kikao cha Baraza la Vijana kilichofanyika Zanzibar.

Makamu wa Pili wa rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Idd akitoa hotuba ya kufungua kikao cha Baraza Kuu la CCM Vijana leo 1/9/2013 katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda akizungumza kwa mara ya kwanza na wajumbe wa Baraza la Vijana wa CCM .

Meza Kuu ikiwa na Katibu Mkuu mpya aliyechaguliwa Sixtus Mapunda wakati wa kikao cha Baraza la Vijana kilichofanyika Zanzibar.

Wajumbe wa
Mkutano wa Baraza kuu la CCM wakiserebuka baada ya kuidhinishwa kuwa
Sixtus Mapunda kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo ya CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimkumbatia Katibu Mkuu wa umoja
wa vijana aliyemaliza muda wake Ndugu Martin Shigela,kulia niKatibu Mkuu
mpya wa UVCCM akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai
Ali Vuai .










0 comments:
Chapisha Maoni