Home
»
Unlabelled
» SIMBA ALIYEUA MBUZI 47 AUWAWA MOROGORO
Kwa
kimombo tunaiita 'life and death', Simba aliyetumia fursa vizuri kwa
kujilia mbuzi 47 ameyaonja mauti baada ya kupigwa hadi kufa na Askari
wanyamapri. Simba
huyo ambaye amesumbua kwa muda mrefu Mkoani humo maaskari Wanyamapori
Mkoani Morogoro wamemwinda na kumuua simba huyo aliyetafuna mbuzi 47
katika Mlima Uluguru eneo la kijiji cha Bagilo kata ya Kinole, Tarafa ya Mkuyuni Mkoani humo.
0 comments:
Chapisha Maoni