SERENA WILLIAMS.
Mchezaji wa Tenis nambari moja duniani kwa upande wa wanawake Serena Williams juzi jumapili aliibuka mshindi wa mashindano ya US Open likiwa ni taji lake la tano baada ya kumbanjua mchezaji namba mbili duniani Victoria Azarenka kwa ushindi wa 7-5
6-7(6) 6-1,ushindi ambao unamfanya Serena kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mkubwa kushinda mashindano hayo ya US Open.
[PHOTO]
Serena Williams Dancing Kukere/etighi As She Wins Her 5th US Open
- See more at:
http://hollicom.blogspot.com/2013/09/photo-serena-williams-dancing.html?utm_source=dlvr.it&utm_medium=facebook#sthash.h7cHPVAz.dpuf
0 comments:
Chapisha Maoni