Searching...
Jumanne, 10 Septemba 2013

LUCIANO SIO MPENZI WANGU...ILA HATA KAMA NI MPENZI WANGU NYIE INAWAHUSU NINIII??? JOKATE KIDOTI AWAPAYUKIA WANAOMFUATILIA.


"Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini yeye si mwanaume na mimi mwanamke. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. 
 
Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule. Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE am a beast, am fierce and I don't take trying to tarnish my image easily. So kindly don't mess with KIDOTI. 3. Yes there's some guy I'm checking out. Like any other female I deserve love. So whoever it is tafadhali tusiharibiane kwa maneno maneno. Nimemaliza. Mniache nilale sasa."

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!