Searching...
Jumamosi, 14 Septemba 2013

RAIS SHEIN AMTEMBELEA PADRI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI JANA.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiLtwU9zv5m45MbPEtye5XspFEJX3eiNR0vYMPZHCklkgA25UcSMNoUUcyh3hbZiJE0X60jftAZM-_Kg8_H2IVx2fbv9Kxt17Uupud3bGLf8KMaGWt5Imhq28Ho0zkHt1rUy9vyNL4BOLTS/s1600/IMG_4338.JPGRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mheshimiwa Dk.Ally Mohamed Shein akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba wa kaninisa la Romani Catholic Parokia ya Machui ambapo rais Shein alimtembelea kumpa pole kufuatia watu wasiojulikana kumwagia tindikali jana mtaa wa Mlandege mkoa wa mjini Magharibi.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxDOwVxSff4RU59ndkmkW_mlfDvluYmC-FTuLwl_lUFRo4ElYdZ77PkUln8M0ThOrR6iahh85miEyECMkPSgOPZBQvE3W2gQloqrcZTVibH7f5HlVE2wngjUrCWbcE790UASfMGkHC6eXD/s1600/IMG_4342.JPGRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mheshimiwa Dk.Ally Mohamed Shein akimsikiliza kwa makini Padri Joseph Monesmo Magamba wa kaninisa la Romani Catholic Parokia ya Machui akimpa maelezo kamili jinsi alivyokumbana na mkasa huo wa kumwagiwa tindikali jana jioni,tukio lililotokea mtaa wa Mlandege mkoa wa mjini Magharibi.

 
Back to top!