Chifu
wa Wasukuma Wilaya ya Kwimba Shimbi Martin Morgan akimabidhi silaha za
jadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumtawaza kuwa
Mtemi wa Sungusungu Kitaifa, zilizofanyika kijiji Ngudu, Wilayani Kwimba
Mkoa wa Mwanza.
Jumanne, 10 Septemba 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni