Searching...
Jumanne, 10 Septemba 2013

KAMA UNA KIU YA BIA USIANGALIE HII HABARI....MADIWANI HALMASHAURI YA KARIUA WATEMBELEA TBL MWANZA

Chujio dogo.

Madiwani na Wataalamu wa Halmasahauri mpya ya Kariua toka mkoa wa Tabora wakiongozwa na Mwenyekiti wao John Kadutu, mwishoni mwa wiki walitembelea Kampuni ya Bia Tanzania iliyopo Ilemela jijini Mwanza, kujionea shughuli za uzalishaji zinazofanywa na kampuni hiyo. 
Afisa Ubora wa Bia kutoka TBL Mwanza Jeremia Kamambi ndiye aliyekuwa mwenyeji wa Madiwani hao toka Kariua.
Shairi (Ngano) ni moja ya kiungo muhimu katika utengenezaji bia.
Shairi pamoja na unga wa sembe katika ghala maalum kiwandani hapa.
Afisa Ubora wa TBL Mwanza, Jeremiah Kimambi akionyesha karatasi maalum ya kuchujia bia ambayo hufungwa kwenye mashine.
Monodex (Glucose) ni kiungo muhimu katika utengenezaji wa bia aina ya Castle Light, hapa madiwani wakiionja.
Asilimia 95 ya bia ni maji hivyo hapa kuna kitengo cha uhifadhi, usafishaji na uchujaji kwa matumizi ya kiwanda.
Maabara ni muhimu kujua ubora na viwango kusudiwa.
Madiwani wakishuhudia mitungi maalum ya kuhifadhi bia.
Paparazi wa Star Tv Abdalah Tilata naye alijumuika kuzichukuwa taarifa.
Madiwani wa Kariua wakishuhudia kiwanda jinsi kinavyofanya kazi katika utengenezaji bia na hata uhifadhi kwenye chupa.
Kuelekea kitengo kingine....
Ghala la bia iliyokamilika kwaajili ya kuelekea sokoni.
Mlima wa mitungi...!! 
Afisa Ubora wa Bia TBL Mwanza Jeremiah Kimambi.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!