Mwili wa mwanajeshi aliyefariki huko Goma, DRC wakati analinda amani
umeagwa rasmi Jana katika Kambi ya Lugalo. Mwanajeshi huyo alifahamika
kama Pete Hugo Barnabas Munga mwenye namba MT88356. Zifuatazo ni picha
kutoka Lugalo wakati mwili wa shujaa wetu unaagwa. Mungu ailaze roho ya
Marehemu mahala pema. Amen.
Picha zote na Mdau wa Thehabari, Lugalo.
0 comments:
Chapisha Maoni