Gari
lililombeba mwenyekiti wa CHADEMA kijiji cha Ivalalila Godfrey Mahenge
likiondoka gereza la Ndulamo mara baada ya kushinda rufaa ya hukumu
iliyotolewa awali ya kifungo cha miezi 9 jela.
Msafara wa pikipiki ukiongoza gari lililombeba mwenyakiti huyo.
Wakazi wa kijiji cha Ivalalila wakishangilia mara baada ya mwenyekiti wao kufika kijijini hapo kutoka gerezani alikokuwa
Mwenyekiti Godfrey Mahenge akiwapungia mkono wananchi
Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Makete Shaaban Mkakanze akizungumza na wananchi waliofika kwenye eneo la Ivalalila.
Godfrey Mahenge akizungumzia furaha aliyonayo baada ya kutoka jela
0 comments:
Chapisha Maoni