Mkurugenzi mkuu wa Nation Media Group ambao wanamiliki gazeti la Daily News la nchini kenya Linus Gitahi amejitokeza kwenye televisheni na kuomba radhi kwa ukiukwaji mkubwa wa maadili uliofanywa na mhariri wake Erick Obino kuweka picha mbaya ya mtu mmoja aliyeuwawa katika shambulio la kigaidi lililotokea katika duka moja la kifahari jijini Nairobi ambapo hadi hii leo inaarifiwa watu 68 wamefariki dunia na wengine 174 kujeruhiwa huku magaidi hao wa alshabaab wakiwa bado ndani ya duka hilo na huku wakiwa wanawashikilia mateka wakenya wengi ambao idadi yao haijafahamika.
HII HAPA VIDEO YA MKURUGENZI MKUU WA NATION MEDIA GROUP LINUS GITAHI AKIOMBA RADHI KUFUATIA PICHA ILIYOWEKWA UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA DAIL NEWS LA KENYA.
0 comments:
Chapisha Maoni