MATUKIO MBALI MBALI YA MECHI ZA MAN U,CHELSEA,LIVERPOOL,ARSENAL NA MAN CITY
Home
»
Unlabelled
» MATUKIO MBALI MBALI YA MECHI ZA MAN U,CHELSEA,LIVERPOOL,ARSENAL NA MAN CITY
MTUKUTU LUIZ SUARES AKISHANGILIA KWA STAILI YAKE BAADA YA KUIFUNGIA TIMU YAKE YA LIVERPOOL DHIDI YA SUNDERLAND.
DANIE STURRIDGE AKISHANGILIA GOLI LAKE ALILOIFUNGIA LIVERPOOL DHIDI YA VIBONDE SUNDERLAND.
MSHAMBULIAJI WA CHELSEA ANAYERUDI KWENYE FOMU FERNANDO TORRES AKIPOKEA ZAWADI YAKE YA KADI NYEKUNDU
MOURINHO AKIMPA POLE MCHEZAJI WAKE
MOURINHO AKIMBWATUKIA MWAMUZI WA AKIBA KUFUATIA TORRES KULIMWA KADI NYEKUNDU.
NI KAMA ANASEMA NAJUTA KUJA HUKU-NI KOCHA WA MANCHESTER UNITED DAVID MOYES AKIUGULIA KIPIGO CHA MABAO 3-2 KUTOKA KWA WBA NA KUJIKUTA AKITUPWA NAMBA 12 KATIKA MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND
ANDERSON NAYE AKIWA HAAMINI BAADA YA FILIMBI YA MWISHO KUPULIZWA
0 comments:
Chapisha Maoni