Searching...
Alhamisi, 5 Septemba 2013

MAONYESHO YA 8 YA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI YAFUNGULIWA RASMI VIWANJA VYA NYAMAGANA MWANZA

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akikamilisha zoezi la kukata utepe kama ishara ya kuzindua Maonyesho ya Nane ya Biashara Afrika Mashariki yanayoratibiwa na TCCIA, yanayoendelea kwenye uwanja wa nyamagana jijini Mwanza.
Tuzo kwa washiriki walofanya vizuri.
Wadau wa Maonyesho wakifuatilia uzinduzi huo.

Engo nyingine.
Hamu ni kuzitwaa tuzo zinazotolewa kulingana na vigezo kwa huduma mbalimbali.
Igans Computing Center  wao wameitwaa tuzo ya Training and Consultancy Service.
Oryx wametishaaaa.....
Habareeee...!!
Mambo ya Home Shopping Center.
Vifaa vya jikoni...vimepamba moto.
Vita Form na banda lao.
Virembesho na mafuta yenye dawa kwa ngozi.
Nani kachomoza toka mlimani...?
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza ambaye pia ni diwani wa Kata ya Mkolani Mhe. Stanslaus Mabula (katikati mwenye kaunda suti) akitinga viwanjani hapo kujionea namna wajasiliamali na wafanyabiashara wakubwa walivyojipanga kuonyesha huduma zao.
Wazee wa 'Continental' nao wameweka kambi viwanjani hapa.
Maonyesho haya yatafungwa rasmi Jumapili ya tarehe 8 septemba 2013.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!