Mkuu wa oparesheni ya kuwakamata na kuwaondoa nchini wahamiaji haramu, wahalifu na mifugo na silaha zilizoingizwa nchini kinyume cha sheria , Brigedia Jenerali Mathayo Sukambi akimsikiliza mkuu wa JKT katika kambi ya JKT Mtabila wilayani Kasulu wakati Brigedia Sukambi alipopita katika kambi hiyo wakati akikagua oparesheni inayoendelea katika mikoa ya Kigoma, Kagera na Geita.
Brigedia General Sukambi akisalimiana na askari wa JWTZ na JKT katika kambi ya JKT Mtabila wilayani kasulu mkoani kigoma .
Maofisaa wa JWTZ wakijadiliana jambo wakati wa operesheni hiyo huko kigoma
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.