Ndani ya
ndege hii "nyumba ya kulala wageni" kuna vyumba 27, unapata utandawazi,
vumba vina luninga, imesha aanza kuchukua wageni wa kulala na ipo karibu
na uwanja wa ndege wa Arlanda airport karibu na mji wa Stockholm,
Sweden.

Hii ni sehemu iliyokuwa ya rubani wa ndege hiyo unaweza kulala hapa kuanzia £170 kwa usiku mmoja..NA JESTINA GEORGE
Mmiliki wa ndege hiyo Oscar Divs alinunuwa ndege hiyi iliyoundwa 1976 Boeing 747-200 na kuibadilisha kuwa nyumba ya wageni

Moja ya chumba katika ndege hiyo

Moja ya chumba cha wageni ambacho kina, flatscreen TV and WiFi
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.