RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR.MOHAMED SHEIN,AKIMUAPISHA OMARI YUSUPH MZEE KUWA WAZIRI WA FEDHA,KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA UKUMBI WA IKULU YA ZANZIBAR LEO ASUBUHI.
WAZIRI WA UWEZESHAJI USTAWI WA JAMII,MAENDELEO YA VIJANA,WANAWAKE NA WATOTO ZAINAB OMAR MOHAMED (kushoto) AKIWA NA WAZIRI MACHANO OMAR SAID NA WAZIRI HAJI FAKI (hawana wizara maalumu) NA WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO RASHID SEIF (kuli) WAKIWA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO IKULI MJINI ZANZIBAR KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA WAZIRI OMARY YUSUPH MZEE KUWA WAZIRI WA FEDHA WA ZANZIBAR.
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DR.MOHAMED SHEIN,AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI MPYA WA FEDHA WA ZANZIBAR OMARY YUSUPH MZEE.
0 comments:
Chapisha Maoni